NJE YA ULINGO SEHEMU YA PILI | Rais wa Naccoz Mafua alikuwa mkabaji, huvaa vito vya milioni 70,

Описание к видео NJE YA ULINGO SEHEMU YA PILI | Rais wa Naccoz Mafua alikuwa mkabaji, huvaa vito vya milioni 70,

Raisi wa Naccoz, Mafua asimulia mikasa aliyokutana nayo kipindi anajihusisha na ukabaji mpaka kunusurika kifo. Mafua anasema vito anavyovaa vina thamani ya Shilingi milioni 70.

Mwamba huyo shabiki mkubwa wa vitasa anasema nyumbani kwake hutumia shilingi 85,000 kila siku kuhudumia familia anayoilea.

Mwamba huyo amepiga stori na Aidan Mlimila kwenye Nje ya Ulingo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке