DODOMA JIJI FC (0) - (4) YANGA SC LIGI KUU TANZANIA

Описание к видео DODOMA JIJI FC (0) - (4) YANGA SC LIGI KUU TANZANIA

"Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye mitandao ya kijamii, bado naamini kwa asilimia 100% kwamba nikirudi Young Africans mashabiki watanipokea.
"Kitu ambacho nimejifunza Tanzania ni kwamba mashabiki wengi huwa wanajali maslahi yao na sio ya wachezaji.
"Kucheza misimu miwili ndani ya Young Africans ilikuwa ni furaha sana kwao, ila ilipofika hatua ya mimi kuondoka, watu walianza kunichukia bila sababu yoyote"

Mshambuliaji

Комментарии

Информация по комментариям в разработке