Ichung'wah: Hakuna hoja yoyote ya kumtoa Gachagua ofisini katika bunge la kitaifa

Описание к видео Ichung'wah: Hakuna hoja yoyote ya kumtoa Gachagua ofisini katika bunge la kitaifa

Ichung'wah amesema kuwa hakuna hoja yoyote ya kutaka kumwondoa Gachagua ofisini ambayo imefikisha mbele ya bunge la kitaifa kwa sasa, huku akisema kuwa madai ya Gachagua Ijumaa hii kuwa kuna mpango wa kumtimua ofisini ni njama ya kusaka huruma na uungwaji mkono haswa kutoka kwa wakazi wa eneo la Mlima Kenya pamoja na Wakenya.

Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке