Msako mwanafunzi aliyepotea kuhamia mtaani, wenzake waeleza alivyotoweka

Описание к видео Msako mwanafunzi aliyepotea kuhamia mtaani, wenzake waeleza alivyotoweka

Mkuu wa Shule hiyo, Emmanuel Dahaye amedai kuwa licha ya jitihada za kumsaka zilizofanyika mlimani kuanzia Septemba 14, 2024 na kumkosa, sasa wanahisi huenda ametoroka hivyo kuanza kumsaka mtaani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке