Gen Z Mombasa wamesema bado mapambano

Описание к видео Gen Z Mombasa wamesema bado mapambano

Rais William Ruto alhamisi alikaribishwa kwa shangwe na nderemo mjini mombasa baada ya kuwateua viongozi wa ODM kuwa mawaziri katika serikali yake. Vijana walionekana kumshabikia kutokana na hatua ambayo iliashiria umoja wa taifa na mwisho wa maandamano Mombasa. Hatahivyo baadhi ya vijana katika kaunti hiyo wanasema ziara ya Ruto haijazima joto la mwamko mpya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке