HONGERA BW. GODFREY NYAISA KWA KUWA MTENDAJI BORA 2022

Описание к видео HONGERA BW. GODFREY NYAISA KWA KUWA MTENDAJI BORA 2022

Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa amepata tuzo ya utendaji bora na kuwa miongoni mwa  Watendaji Wakuu Bora 100  waliotunukiwa tuzo hizo kwa mwaka 2022.
 
Tuzo hiyo imetolewa tarehe 27 Novemba, 2022 katika  Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, ambapo Mkurugenzi wa Leseni kutoka BRELA Bw. Andrew Mkapa aliipokea kwa niaba yake. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa ni Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar Mhe. Omar S. Shaaban (Mb).

Комментарии

Информация по комментариям в разработке