Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote.

  • Yuboxtv
  • 2022-05-11
  • 5505
Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote.
  • ok logo

Скачать Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Mfalme Zumaridi ukweli wote hadharani , shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote.

Kesi ya Mfalme Zumaridi , ukweli hadharani shahidi ajitokeza, aeleza ukweli wa mambo yote. katika kesi inayomkabili mfalme zumaridi na wenzake 8, siku ya leo kesi imeendelewa kusomwa ambapo Christina Mwisongo 46, Shahid wa jamuhuri. ambaye ni
Afisa ustawi wa jamii Halmashauri ya Jiji la mwanza.(kulinda na kutetea haki za watoto) ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua stahiki juu ya kumuokoa mtoto anapokuwa katika mazingira hatarishi na kupokea amri zote za mahakama zinazohusu madai ya kesi ya watoto zinazofika mahakamani kwa kushirikiana na jeshi la polisi Akitoa ushahidi alisema kuwa

"Mnamo tarehe 22.2.2022 alifika wakili Linus Mnishi akiwa na Ally Abas Shabani Baba wa mtoto SS wakiwa wameleta Amri ya mahakama kwa Afsa ustawi wa jamii ya kumchukua mtoto SS wakiwa na nakala ya hukumu ya madai ya taraka iliyofunguliwa Mahakama ya Mwanzo mkuyuni wakitaka ofisi ya ustawi wa jamii kutekeleza Amri hiyo ya kuchukua mtoto. Hivyo mkuu wake wa kazi kumuhamru kufuatilia kesi hiyo ambaye ni AFISA ustawi wa jamii wilaya.

Shahidi huyu ametambua vithibitisho ambavyo ni Amri ya mahakama pamoja na Nakala ya hukumu ya Taraka Baada ya kuipokea aliandika mwasiliano ya Wakili Linus pomoja na Baba wa mtoto SS ambavyo aliandika mwenyewe kwa kalamu ya bluu

Ushahidi ulipokelewa na mahakama huku upande wa utetezi wakiupokea pia bila pingamizi

Hukumu ya madai ya Taraka ilisomwa mahakamani na kubaini kuwa ilitolewa 23.09.2020 kuwa mdai aliomba Taraka na hifadhi ya mtoto SS baada ya

ambapo mahakama haikutoa Taraka kwa kuwa hakukuwa na ndoa na kutoa hukumu kwa hifadhi ya mtoto SS kwa Baba yake ambaye ni mdai katika kesi hiyo.

Na kutoa Amri kwa ustawi wa jamii kufuatana na Askari polisi kwenda kumchukua mtoto na kumrejesha mahakamani ili akabidhiwe kwa Baba yake mzazi ikiwa.

Aliambatana na Askari kwenda Nyumbani kwa Zumaridi ilikumchukua mtoto SS.

wakati wa kushuka katika la polisi katika nyumba hiyo alikuja kijana na kuwaambia subirini niwafungulie geti akaingia ndani na kufunga geti hilo bila kulifungua tena. Mkuu wa msafara huo akachukua hatua ya kugonga geti hilo ili kufunguliwa bila mafanikio Askari mmoja akwaambia kuwa kuna geti lingine upande wa pili ambalo lilikuwa wazi wakabahatika kuingia.

Baada ya taarifa za uchunguzi wa kijamii kuwa mtoto SS anaishi pamoja na mama yake ambaye ni Suzanna Simoni nyumban kwa Zumaridi

Askari alienda na kufungua geti alilogoma kufungua kijana huyo na kuruhusu Hari la polisi kuingia ndani

Baada ya kushuka katika gari la polisi kiongozi wa msafara alijitambulisha na kuutambulisha msafara wake na kuhitaji kuonana na Zumaridi ambapo walikosa ushirikiano na kuambiwa hawajui alipo na kuwafuata waimbaji walioonekana mbele yao na kuwafuata, wakawasalimia pasina kujibiwa na kuwaamuru waache kuimba wawasikilizi ndipo wakaanza kusikilizwa wakiomba kuelekezwa alipo Zumaridi ambapo walijibiwa na mwalimu wa kwaya kuwa yeye yupo kwaajili ya kufundisha wanakwaya na yeye hakuwa msemaji pale na kuwataka warudi mapokezi

Baada ya kujibiwa hivyo wakazidi kwenda mbele walikuta watu wengi wanaume kwa wanawake waliovali mashati meupe na sketi na suruali nyeusi wakiwa sebuleni wakiwa wanasali kwa kushikana mikono.
#zumaridi#mwanza#mahakamani

Wakasimama nakusubiri wamalize kusali, baada ya muda kidogo waliaanza kuunguruma kama Simba na kunYanyuka huku wakitembea mwendo wa ajabu hali iliyowafanya wao na msafara mzima kuanza kutoka nje watu hao wakiwa na Zumaridi wakamkamata Askari mmoja aliyetajwa kwa jina la Afande James kwa kumvuta, kumkanyaga na kumpiga mateke wakiendelea kuunguruma


Wakashikwa na taharuki wakamwacha Afande James ambaye aliendelea kujiokoa akafanikiwa kutoka na wote wakatoka katika lango hilo na kushindwa kutekeleza Amri ya mahakama. Huku wakifuatwa na mashambulizi na kurushiwa vitu mbalimbali vikiwemo viti wakatoka nje ya geti na gari likiwafuata kwa nyuma wakaingia ndani ya gari la polisi ambapo Baba wa mtoto SS alimwonyesha mama wa mtoto wake akiwa miongoni wa watu hao aliokuwa wakizomea.

Katika tukio Hilo Shahidi aliweza kumtambua Zumaridi na Suzanna Simoni ambao walikuwepo mahakamani hapo

Baada ya hapo dereva aliwasha gari na kwenda kwa mbele kidogo na kupaki pembeni kumsikiliza Afande James aliyeumizwa na kuondoka huku Afande James akidai kwenda kufungua kesi na wao kurejea kituo cha Kati Nyamagana kutoa taarifa kuwa wameshindwa kutekeleza Amri hiyo

Akimhoji Shahidi huyo , Wakili wa utetezi Wakili Mutta alimuuliza kama aliieleza mahakama kuwa aliwaambia polisi kuwa ana Amri ya mahakat? Kweli

Anatakiwa kuhakikisha kunakuwa na amani katika jamii.
#zumaridi#mwanza#mahakama

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • KESI YA ZUMARIDI MWANZA MAMBO BADO MAGUMU, AONESHA MARINGO NDANI YA MAHAKAMA
    KESI YA ZUMARIDI MWANZA MAMBO BADO MAGUMU, AONESHA MARINGO NDANI YA MAHAKAMA
    3 года назад
  • Майк Тайсон против Мутанта! Это Нужно Увидеть...
    Майк Тайсон против Мутанта! Это Нужно Увидеть...
    8 дней назад
  • 24 часа в ХУДШЕМ ПОЕЗДЕ в Китае! Что внутри?
    24 часа в ХУДШЕМ ПОЕЗДЕ в Китае! Что внутри?
    9 часов назад
  • Leo #MariaSpaces : Je tuko tayari kupokea mabadiliko kutoka kwa Samia kama #KatibaMpya?
    Leo #MariaSpaces : Je tuko tayari kupokea mabadiliko kutoka kwa Samia kama #KatibaMpya?
    Трансляция закончилась 1 час назад
  • Арестович & Латынина: Украина против всех.
    Арестович & Латынина: Украина против всех.
    4 часа назад
  • ⚡ЮНУС: Это ПЕРЕВОРОТ в мире! Алиев ГОТОВИТ ВТОРЖЕНИЕ? Ответка на атаку Ирана. Москва жалко МОЛЧИТ
    ⚡ЮНУС: Это ПЕРЕВОРОТ в мире! Алиев ГОТОВИТ ВТОРЖЕНИЕ? Ответка на атаку Ирана. Москва жалко МОЛЧИТ
    Трансляция закончилась 2 часа назад
  • MFALME ZUMARIDI AHUKUMIWA KIFUNGO JELA
    MFALME ZUMARIDI AHUKUMIWA KIFUNGO JELA
    3 года назад
  • Про преемника Кадырова, смерть Джабраилова и роль Алаудинова🎙️ Честное слово с Тумсо Абдурахмановым
    Про преемника Кадырова, смерть Джабраилова и роль Алаудинова🎙️ Честное слово с Тумсо Абдурахмановым
    Трансляция закончилась 13 часов назад
  • ⚡️Началось!Китай ПОПЕР ПРОТИВ Ирана. Жесткий УЛЬТИМАТУМ Пекина Тегерану. Трамп ДОЖАЛ Сенат@МирВранья
    ⚡️Началось!Китай ПОПЕР ПРОТИВ Ирана. Жесткий УЛЬТИМАТУМ Пекина Тегерану. Трамп ДОЖАЛ Сенат@МирВранья
    4 часа назад
  • MBUNGE ACHARUKA! AMLIPUA MFALME ZUMARIDI na KIBOKO ya WACHAWI -
    MBUNGE ACHARUKA! AMLIPUA MFALME ZUMARIDI na KIBOKO ya WACHAWI - "WANAWADANGANYA WATOTO ETI ni MUNGU"
    9 месяцев назад
  • "СВЯЗАЛИ, ОБЛИЛИ БЕНЗИНОМ, И ПОДОЖГЛИ. А ПОТОМ ПОДМЕНИЛИ ТЕЛО» - МАТЬ И СЕСТРА ИЩУТ УБИЙЦ .
    7 часов назад
  • KESI...!! Alichokisema wakili wa 'MFALME ZUMARIDI', baada ya kesi kupigwa kalenda
    KESI...!! Alichokisema wakili wa 'MFALME ZUMARIDI', baada ya kesi kupigwa kalenda
    3 года назад
  • Иран зажег и мир горит все жестче
    Иран зажег и мир горит все жестче
    2 часа назад
  • Wafuasi 40 wa Mfalme Zumaridi Waachiwa huru baada ya msoto mkali
    Wafuasi 40 wa Mfalme Zumaridi Waachiwa huru baada ya msoto mkali
    3 года назад
  • Скотт Риттер: Иран 7-минут назад срочно!
    Скотт Риттер: Иран 7-минут назад срочно!
    2 часа назад
  • KESI YA MFALME ZUMARIDI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI YA UTETEZI..
    KESI YA MFALME ZUMARIDI: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI YA UTETEZI..
    3 года назад
  • Трамп назвал Зеленского препятствием, атакует ли Азербайджан Иран, угрозы Орбану. Итоги 05.03
    Трамп назвал Зеленского препятствием, атакует ли Азербайджан Иран, угрозы Орбану. Итоги 05.03
    3 часа назад
  • Гудков. Началось! Теперь Путина сдадут с потрохами! Вот как он кончит! Трамп его не простит!
    Гудков. Началось! Теперь Путина сдадут с потрохами! Вот как он кончит! Трамп его не простит!
    4 часа назад
  • TAZAMA RAIS SAMIA ATOA ANGALIZO KUPANDA BEI YA MAFUTA KISA VITA YA MAREKANI, IRAN
    TAZAMA RAIS SAMIA ATOA ANGALIZO KUPANDA BEI YA MAFUTA KISA VITA YA MAREKANI, IRAN
    2 дня назад
  • MWANAFUNZI AATHIRIWA NA KESI YA MFALME ZUMARIDI
    MWANAFUNZI AATHIRIWA NA KESI YA MFALME ZUMARIDI
    3 года назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com