KUOKA KEKI KWENYE JIKO LA MKAA NA SUFURIA BILA VIFAA MAALUM | KEKI LAINI NA YA KUCHAMBUKA BILA OVEN

Описание к видео KUOKA KEKI KWENYE JIKO LA MKAA NA SUFURIA BILA VIFAA MAALUM | KEKI LAINI NA YA KUCHAMBUKA BILA OVEN

kuoka keki ni rahisi sana na haihitaji vifaa maalum. Leo mutajifunza jinsi ya kuoka keki kwenye jiko la mkaa

MAHITAJI:
2 cups siagi 500g
2 cups sukari 400g
4 cups unga 500g
8 mayai
3/4 cup maziwa 175ml
2 tsp vanilla 10 ml
2 tbsp baking powder

Комментарии

Информация по комментариям в разработке