HAJI MANARA KAPANIKI "UNANILETEA UYANGA WAKO MIMI? TUNAWAJUA"

Описание к видео HAJI MANARA KAPANIKI "UNANILETEA UYANGA WAKO MIMI? TUNAWAJUA"

Afisa Habari wa Simba SC Haji Manara Leo ameongea na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi dhidi Yanga SC utakaochezwa Jumamosi ya July 3 2021 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке