WAZIRI SILAA ATATUA MGOGORO WA MIAKA 26 WA UBIA KARIAKOO....

Описание к видео WAZIRI SILAA ATATUA MGOGORO WA MIAKA 26 WA UBIA KARIAKOO....

#OFFTRACKTV #offtracktv #kariakoo

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ametatua mgogoro wa muda mrefu wa kugombea ubia walioingia kati ya Bwana Sauli Henry Amon na familia ya mzee Bushiri Pazi katika jengo la ghorofa nane lililopo Kariakoo, Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam.
Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani

BONYEZA LINK 👉👉 https://whatsapp.com/channel/0029VaDF...

KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
   / offtracktv  
Email | [email protected]

🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
🔴 Email: [email protected]
Www.offtrack.co.tz

𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
...............................................................................................
Subscribe:   / offtracktv  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке