KAMBI YA SIMBA MISRI | Kocha Fadlu, mratibu wa timu, wachezaji wazungumzia kambi

Описание к видео KAMBI YA SIMBA MISRI | Kocha Fadlu, mratibu wa timu, wachezaji wazungumzia kambi

Tazama mkusanyiko wa matukio katika kambi ya Simba SC, ambayo hadi leo imetimiza wiki moja tangu waanze kujifua jijini Ismailia nchini Misri.

Kocha wa timu hiyo Fadlu Davids, Mratibu wa timu, daktari wa timu na wachezaji watoa neno kuhusu maendeleo ya kambi na mtazamo wao kuelekea msimu ujao.

#KambiYaSimba #Preseason #SimbaSC

Комментарии

Информация по комментариям в разработке