MAKALA: Mteja apatikana Kamiti

Описание к видео MAKALA: Mteja apatikana Kamiti

Makala yaangazia utapeli unaoendeshwa na wafungwa gerezani Kamiti
Wafungwa hawa wana sehemu maalum ya kuendesha shughuli zao
Wafungwa hawa tapeli wanaishi maisha yasiyo ya kawaida gerezani
Wanatumia simu kuwatapeli wakenya kibiashara au hata kifamilia
Walengwa wa wafungwa hawa pia ni watu wanaoishi mataifa ya nje
Wakenya wengi hujipata kwenye njia panda matapeli wanapowapigia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке