MITIMINGI # 142 JINSI GANI MWANAMKE ANAWEZA KUWA SABABU YA MAFANIKO YA MWANAUME

Описание к видео MITIMINGI # 142 JINSI GANI MWANAMKE ANAWEZA KUWA SABABU YA MAFANIKO YA MWANAUME

Mafanikio ya Mwanaume yanategemea aina ya Mwanamke aliyempata, lakini mafaniko ya mwanamke hayategemei aina ya Mwanaume aliyempata. Ni kwa jinsi gani mwanamke anaweza kuleta mafanikio ya mwanaume? Msikilize Mchungaji na Mwalimu MITIMINGI p. Akikupatia sababu 10 kwa nini Mwanamke ndiye aliyebeba mafanikio ya Mwanamke.
Mawasiliano +255 713 18 39 39

Комментарии

Информация по комментариям в разработке