KIMEUMANA! DEREVA MWANAMKE AMCHOMA MTUMISHI KWA RC MTAKA, MAGARI 200 YAKWAMA NJOMBE...

Описание к видео KIMEUMANA! DEREVA MWANAMKE AMCHOMA MTUMISHI KWA RC MTAKA, MAGARI 200 YAKWAMA NJOMBE...

KIMEUMANA! DEREVA MWANAMKE AMCHOMA MTUMISHI KWA RC MTAKA, MAGARI 200 YAKWAMA NJOMBE...

Wafanyabaishara wa Mazao ya Misitu ikiwemo zao la Mbao Mkoani njombe Wameulalamikia Wakala wa Misitu Mkoani humo TFS kwa Kushindwa Kuwapa Vibali vya Kusafirisha Mazao ya Misitu kwa Wakati Jambo ambalo Limekuwa Likiwaingiza katika Hasara kubwa.

Wakitoa malalamiko yao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka Wafanyabiashara hao akiwemo Sofia Raymond pamoja na Subira Kyando wamesem kuwa Magari yao yanayosafirisha Bidhaa hiyo mhimu kwa Uchumi wa Mkoa wa Njombe Yamekwama kwa Muda a Wiki Moja kwa Kile Kinachodaiwa ni Matatizo ya Kimfumo katika Utoaji wa Vibali Hivyo.

Audatus Kashamakula ni Maneja wa Wakala wa Misitu Wilaya ya Njombe akizungumza baada ya Kusikia Kero kutoka kwa Wafanyabiashara pamoja na Madereva Wanaosafirisha Bidhaa Hiyo Mhimu amekiri Kutokea kwa Changamoto ya Kimfumo ambayo Ilisababisha Wafanyabiashara Kukosa Vibali vya Kusafirisha Mazao ya Misitu ndani ya Mkoa wa Njombe ambapo amesema kwa sasa Huduma Hiyo Imerejea.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amefika katika maeneo ambayo Wafanyabiashara Wameegesha Magari yao baada ya kukosa Vibali vya Kusafirishia Mazao yao na hapa akatoa Maamuzi juu ya Kadhia Hiyo Iliyowakumba Wafanyabiashara wa Mazao ya Misitu Mkoani njomb.







CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке