Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo

Описание к видео Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo

Alianzia kilimo kwa kutegemea soko la nchi yake, lakini baadaye akakitanua kilimo chake na kuyalenga masoko ya kimataifa. Kwa sasa anauza mazao kama maharagwe na njegere hadi Ulaya. Ujumbe wake kwa vijana ni kwamba kuna fursa kila mahali

Комментарии

Информация по комментариям в разработке