MILLARD AYO,MWANZILISHI NA MMILIKI WA AYOTV!!

Описание к видео MILLARD AYO,MWANZILISHI NA MMILIKI WA AYOTV!!

Millard Ayo Ni Mtoto Wa Kwanza Kwenye Famili Ya Mzee Afrael Ayo Kati Ya Watoto Wa Wanne Wa Mzee Huyo,Maisha Yake Toka Udogoni Yalikuwa Ya Songombingo Na Misukosuko Mingi Sana Kutokana Na Yeye Kutofanya Vizuri Darasani Na Kwakuwa Pia Alikuwa Ni Mtoto Wa Mwalimu Hivyo Mafikirio Ya Walio Wengi Kwa Kipindi Kile Waliamini Watoto Wa Walimu Ni Lazima Shuleni Wafanye Vizuri,Jambo Ambalo Lilikua Tofauti Sana Upande Wa Millard Ayo,Hivyo Ikawa Ni Msoto Upande Wake Maana Mara Kadhaa Alikutana Na Adhabu Za Baba Yake Kutokana Na Kutofurahishwa Na Ufauru Wake Darasani!,Millard Ayo Alianza Kukumbana Na Mitihani Mizito Toka Akiwa Mdogo,Ni Mitihani Gani Hiyo!?,Fuatilia Video Hii Mwanzo Hadi Mwisho Ili Uweze Kujua Na Kujifunza Kutoka Kwake,Ahsantee Na Karibu Tujifunze Pamoja.


#millardAyo
#ayotv
#historia
#mwandishi
#safari
#youtube
#redio
#habaritanzania
#mafanikio
#inspirational

Комментарии

Информация по комментариям в разработке