TUZO ZA TFF 2024 | Aziz Ki Mchezaji Bora wa NBC Premier League, Hamisa Mobeto gumzo

Описание к видео TUZO ZA TFF 2024 | Aziz Ki Mchezaji Bora wa NBC Premier League, Hamisa Mobeto gumzo

Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 ni Stephane Aziz Ki wa Yanga…… Cheki alivyopokea tuzo yake na kila kitu walichozungumza akiwa na Hamisa Mobeto baada ya kupigwa ‘surprise’ ya Dubai.

Ni hafla ya tuzo za TFF kwenye ukumbi wa The Dome, Dar es Salaam LIVE #AzamSports1HD

#TFFAwards2024 #TuzoZaTFF #TFFAwards #Tuzo #AzamMedia #SuperDome

Комментарии

Информация по комментариям в разработке