AIC Chemichemi Choir (KYAIMU) - JIKAZE(Official Live Video)

Описание к видео AIC Chemichemi Choir (KYAIMU) - JIKAZE(Official Live Video)

wimbo wa kwanza katika Album ya Namtegemea Bwana , Ilio launchiwa katika kanisa la AICT kyaimu , Kitui county Kenya.
Ndani ya wimbo huu Aic Kyaimu*chemichemi choir" tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kuwa muongozo wako katika Kujikaza Kimaisha nakusonga mbele katika kila jambo unalolifanya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке