KUZALIWA

Описание к видео KUZALIWA

Amani kuu iwe kwako mtu wa Mungu!

Tunaposherekea na kuadhimisha msimu huu wa Christmass na kuzaliwa kwa BWANA wetu Yesu Kristo;

Huu hapa ndio ujumbe na zawadi yetu kwako wewe, familia na wapendwa wako wote.

Ni maombi yetu kuwa, Kuzaliwa kwa Yesu Kristo, kukalete Amani, Ushindi, Kufanikiwa na Kibali kwako.

Tafadhali usiache kumshirikisha rafiki yako baraka hizi muhimu sana.
Tazama, Like, Share na Subscribe kama bado.

Mungu wetu wa Mbinguni akubariki sana.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке