Chapati za Maji/ Chapati za Mayai. laini, Taamu. pika kama Malkia, Utafurahi

Описание к видео Chapati za Maji/ Chapati za Mayai. laini, Taamu. pika kama Malkia, Utafurahi

Unga robo tatu (kilo moja kasoro robo)
Yai 1
Maji 3cups mpaka 4
Maganda ya limao 1tbsp
Chumvi 1tsp
Sukari 3tbsp

Комментарии

Информация по комментариям в разработке