Nimepata Neema, by Sir Mwang'onda,0718622131.

Описание к видео Nimepata Neema, by Sir Mwang'onda,0718622131.

Nimepata Neema ni wimbo utakao kutoa sehem Moja na kukupeleka sehem nyingine,kihuduma inaweza umekata tamaa,umevunjika moyo na mda mwingine hueleweki nawe pia hujielewi na hata hatima yako hujui,amini kupitia wimbo huu ,Imani yako itaumbika na kuona tumaini ya kuendelea.Ni maombi yangu Mungu akukumbuke katika mapito yako.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке