Polisi wavunja nyumba ya mwanasiasa Jimi Wanjigi

Описание к видео Polisi wavunja nyumba ya mwanasiasa Jimi Wanjigi

Mfanyabiashara Jimi Wanjigi amepata afueni baada ya Mahakama Kuu kutoa amri ya kuzuia Polisi kumkata hadi pale hoja alilowasilisha kortini itasikizwa na kuamuliwa. Hii ni baada ya maafisa wa usalama kuvamia na kusaka nyumba yake mtaani muthaiga usiku wa kuamkia leo. viongozi wa Azimio la Umoja Raila Odinga na Martha Karua wameshutumu kitendo hicho walipoitembelea familia ya Wanjigi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке