Ee Yesu Wangu - Chanson Catholique pour la Communion

Описание к видео Ee Yesu Wangu - Chanson Catholique pour la Communion

Ee Yesu Wangu - Chanson Catholique pour la Communion (Kiswahili)

*** Paroles ***
R) Ee Yesu wangu nitaenda kwa nani,
Ni wewe unaye maneno ya uzima ya milele Mungu wangu.

1) Mwili wangu, nita wapa mutakula na mtamaliza
njaa yenu nyinyi wote... Ee Yesu njooni kwangu.
2) Damu yangu nitawapa, mutakunywa na mtamaliza
kiu chenu ninyi wote... Ee Yesu njooni kwangu.
3) Nyinyi wote mupendane vile Yesu aliwapenda
siku zote kwa milele... Ee Yesu njooni kwangu.

O wa milele… Mungu wangu! x2
Kwa nani mimi nitaenda… Mungu Wangu!
Unaye maneno ya uzima… Mungu yangu
O wa milele… Mungu wangu! x2

Комментарии

Информация по комментариям в разработке