Rais Magufuli afurahi kukutana na Pacha wake Mafinga Mjini

Описание к видео Rais Magufuli afurahi kukutana na Pacha wake Mafinga Mjini

#OnTrending!
Msanii wa Komedi kutoka Mufindi maarufu kwa jina la Baraka Magufuli ambae huigiza sauti ya Mhe Rais amekutana uso kwa uso na kufanya haya ambayo yamemfaruhaisha sana Mhe. Rais Magufuli

Комментарии

Информация по комментариям в разработке