DAVIDO ACHUKIZWA kukumbushwa KIFO cha MTOTO Wake/AKUBALI KUACHANA na MALEZI ya MTOTO wake....

Описание к видео DAVIDO ACHUKIZWA kukumbushwa KIFO cha MTOTO Wake/AKUBALI KUACHANA na MALEZI ya MTOTO wake....

Mwanamuziki #Davido amekubali yaishe kwa kumuachia Baby Mama wake #SophiaMomodu ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja wa kike

Davido ambaye alifungua kesi ya kutaka kupata nafasi ya kushiriki kumlea mtoto ameamua kumuachia mama huyo amlee mtoto mwenyewe baada ya kuona kuwa kila anapojaribu kutafuta haki ya kumlea mtoto huyo mwanamke huyo huzua mada za marehemu mtoto wake #Ifeanyi ambaye alifariki dunia kwa kuzama kwenye swimming Pool.
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Комментарии

Информация по комментариям в разработке