MWL. MGISA MTEBE - KONGAMANO LA MAOMBI (MANA) - MOSHI - Kupata Matokeo zaidi katika Maombi - Na.5

Описание к видео MWL. MGISA MTEBE - KONGAMANO LA MAOMBI (MANA) - MOSHI - Kupata Matokeo zaidi katika Maombi - Na.5

Upendo kwa Mungu, una ngazi na madaraja tofauti. Kadri unavyozidi kukua katika Kumpenda Mungu, ndivyo unavyoongezeka katika Mahusiano na Mungu, na hiyo hali itakupa matokeo zaidi katika Maisha yaka ya Maombi. Warumi 8:28 "... Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao, katika kuwapatia mema ..." Pia Yoh 14:21-23 "Mtu akinipenda, atapendwa na Baba yangı, Nami Yesu nitampenda, nasi tutakuja kufanya makao kwake na kujifunua kwake" na Mith 8:17 'Ninawapenda wale wanipendao, nao wanitafutao kwa bidii, wataniona'. Kwa kusikiliza kipindi hiki, Mungu akupe kim na neema ya kukla patika kumpenda Mungu, na upate matokeo zaidi patika Maombi yako.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке