Shirika la Wakulima wadogo wapiga vita GMO na kurudia kienyeji

Описание к видео Shirika la Wakulima wadogo wapiga vita GMO na kurudia kienyeji

Shirika la wakulima wa kiwango kidogo limelalamikia mchipuko wa mimea ya viini tete ama GMOs hapa nchini. Wakulima hao wamesistiza kuwa wataendeleza kilimo asili. Nicholas Wambua alitembelea wakulima katika eneo la mukaa, kauni ya Makueni na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on   / ktnnews  
Like us on   / ktnnews  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке