Nitawapangusa wote sita akiwemo Yanga na Azam - Adam Malima mlezi wa Biashara United

Описание к видео Nitawapangusa wote sita akiwemo Yanga na Azam - Adam Malima mlezi wa Biashara United

“Wote sita nitawapangusa, kuna jamaa zangu wa Jangwani nao watapigwa” – Mkuu wa Mkoa wa Mara ambaye pia ni mlezi wa Biashara United, asema ligi itakaporejea, timu zote sita zitakazokwenda Musoma zikiwemo Yanga na Azam, zitapanguswa. Je, unadhani hiki anachokisema Malima kinawezekana?

Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM:   / azamtvtz  
►INSTAGRAM:   / azamsports2  
►TWITTER:   / azamtvtz  
►FACEBOOK:   / azamtvtz  
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке