Rudisha faili zilizofutwa Katika computer

Описание к видео Rudisha faili zilizofutwa Katika computer

Siku zote tukifuta vitu vitu katika kompyuta hubaki humo. Nikiwa namaanisha hubaki ndani ya kompyuta. Hata kama vikifutwa katika recycle bin. Bado hubaki ndani ya hard drive za computer. Vikiwa compressed, namaanisha vikiwa katika saizi ndogo kuliko. Hivyo leo tunajifunza namna ya kurudisha vitu vilivyofuta katika kompyuta.Tunatumia software inayoitwa Disk Drill. kama hauna hii application.
Soma zaidi katika blog yangu
https://www.motechapp.com/namna-ya-ku...

Video hii hujibu maswali yafuatayo
A. Ninawezaje kupata tena faili zilizofutwa kutoka kwa PC yangu ya Windows?
B. Ninawezaje kupata tena faili zilizofutwa katika Windows 10?
C. Ninapataje faili zilizofutwa kabisa?
D. Je! Ni programu ipi bora ya kufufua data kupata data iliyofutwa kutoka kwa PC?
E. Je! Ninarudishaje faili iliyofutwa kutoka kwa kompyuta yangu?

Aina Ya Mafaili yanayorudishwa au kufufuliwa ni
1. Picha
2. Video
3. Documents (pdf, txt file, microsoft word document)
4. Audio
5. Mengine yote yaliyofutwa katika kompyuta.
Application inayotumika ni Disk Drill, kuidownload hii application bofya link chini, ukikwama uliza swali kwa kuweka comment chini, pia application ikigoma kuinstall niambie nikusaidie
https://filehippo.com/download_disk_d...

kama una swali weka comment chini, kama uniipenda video usisahau kulike, kwa video zinazokuja usisahau kususcribe.


SUBSCRIBE for getting notifications of upcoming tutorials at MoTech COMPUTERS:
https://www.youtube.com/motechstore?s...
#Swahili #motechapp
#namnayarudishafailizilizofutwa #namnafailizilizofutwarudisha #namnacomputerfutafaili

Комментарии

Информация по комментариям в разработке