"MUNGU HUWATUNZA WATUMISHI WAKE", ALUSARIA KWEKA KUSTAAFU KWA HESHIMA

Описание к видео "MUNGU HUWATUNZA WATUMISHI WAKE", ALUSARIA KWEKA KUSTAAFU KWA HESHIMA

Ibada ya kustaafu kwa heshima Mwinjilisti Alusaria Kweka leo tarehe 24.8.2024 na kuwaingiza kazini parish workers pamoja na Mwinjilist. Parish worker Magdalena, Devota, Mariam, Grace na Mwinjilist Glory ibada hii imeongozwa na Mkuu wa Jimbo Mch. Javason Mrema katika Usharika wa KYOMU.
Neno la siku ni kutoka Kum.32:10 . BWANA akamzunguka, akamtunza Akamuhifadhi kama mboni ya Jicho
UJUMBE kwa wote: Mungu huwatunza watumishi wake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке