WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI GREAT RUAHA MARATHON 2024

Описание к видео WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI GREAT RUAHA MARATHON 2024

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James azindua Mbio za Mto Ruaha Mkuu (Great Ruaha Marathon 2024) kwa mwaka 2024 ambazo zinatarajia kufanyika Julai 6, 2024 zikilenga kuhamasisha jamii juu ya utunzaji Mto Ruaha Mkuu ambao unahudumia Hifadhi ya Taifa ya Ruaha iliyopo mkoani Iringa. Mgeni Rasmi katika mbio hizo ni Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке