Jamaa amuua nduguye kufuatia mzozo kuhusu ng'ombe Nandi

Описание к видео Jamaa amuua nduguye kufuatia mzozo kuhusu ng'ombe Nandi

Wakazi wa kijiji cha Seretunin wameshangazwa na tukio ambapo mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 28, anadaiwa kumuua kwa kumdunga kisu nduguye mdogo kufuatia mzozo kuhusu uuzaji wa ng'ombe wao.
wakazi wanasema kuwa jama ahuyo alikuwa mlevi alipomshambulia kakake. Wakazi wanalaumu polisi kwa kushindwa kukabiliana na biashara haramu ya pombe. Wanaitaka hatua za dharura zichukuliwe kushughulikia suala hili na kuzuia maafa zaidi kutokea.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке