TAZAMA BASHUNGWA ALIVYOWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, 'IKAMILIKE 2025'

Описание к видео TAZAMA BASHUNGWA ALIVYOWABANA WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, 'IKAMILIKE 2025'

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha mpango kazi utakaomuwezesha kukamilisha ujenzi ifikapo mwezi Machi, 2025.

Bashungwa ametoa agizo hilo leo Oktoba 02, 2024 jijini Dodoma wakati akikagua ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ambapo amemsisitiza Mkandarasi huyo kuongeza nguvu kazi, mitambo na kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kwa wakati kama ilivyopangwa kwenye mkataba.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке