EXCLUSIVE: HANANJA, Sikuwaza kuoa bali Utajiri “Asingekuwa Mke wangu sijui ningekuwa wapi”

Описание к видео EXCLUSIVE: HANANJA, Sikuwaza kuoa bali Utajiri “Asingekuwa Mke wangu sijui ningekuwa wapi”

Kabla ya kuingia kwenye masuala ya kanisa, Hananja alipokuwa mtoto aliishi nyumbani kwa mchungaji ambaye ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kumtengeneza kiimani na kumjengea ujasiri wa kujiamini na kujieleza. Hananja anasema pamoja na kuishi katika mazingira hayo, hakuwa na mawazo ya kujikita kanisani licha na kufurahia kwenda kusali na kuimba.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке