LISSU AZIDI KUCHACHISA WANANCHI

Описание к видео LISSU AZIDI KUCHACHISA WANANCHI

Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, amesema nguvu ya umma na nguvu ya Jumuiya ya Kimataifa zikitumika kushinikiza Serikali na vyombo vya usalama vya Tanzania kuchunguzwa na kusafishwa, inaweza ikawa njia sahihi ya kumaliza matukio ya utekaji unaofanywa na wasiojulikana nchini.


Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Комментарии

Информация по комментариям в разработке