Idara ya mahakama yaungana na familia kumuomboleza hakimu Monica Kivuti

Описание к видео Idara ya mahakama yaungana na familia kumuomboleza hakimu Monica Kivuti

Jaji Mkuu Martha Koome amemuomboleza Hakimu Monica Kivuti akisema kifo chake ni pigo kubwa kwa idara ya mahakama. Koome ambaye alizuru nyumbani kwa Kivuti hapa Nairobi kuomboleza na familia amesema idara ya mahakama imempoteza mfanyakazi aliyetekeleza majukumu yake kwa ukakamavu. Hakimu Mkuu Monica Kivuti alifariki usiku wa ijumaa akipokea matibabu ya majeraha ya risasi katika hospitali ya Nairobi. Ben Kirui na maelezo zaidi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке