CHEKECHE|| Nani ni nani uchaguzi mkuu wa Kenya?

Описание к видео CHEKECHE|| Nani ni nani uchaguzi mkuu wa Kenya?

Unapozungumzia uchaguzi mkuu kwa mwaka huu kwa Afrika, Kenya ni ya kutazamwa kwa kuwa siasa zake zimekuwa na mvuto hata nje ya Bara.

Bado kuna safari ndefu ya kuifikia Agosti ambapo uchaguzi mkuu utafanyika, lakini kampeni zake zimeshangamka mapema.

Kuna mafahari wawili: Raila Odinga dhidi ya William Ruto. Mvuto zaidi ni kwa Rais Uhuru Kenyatta kumuunga mkono Raila.

Nani ni nani uchaguzi mkuu wa Kenya?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке