Zoravo - Niko Tayari (Official Live Video) sms : Skiza 6983367

Описание к видео Zoravo - Niko Tayari (Official Live Video) sms : Skiza 6983367

…..Baba Najua ipo Siku Moja Nitamaliza Kazi halafu Wengine wataendelea mpaka Utakapo rudi mara ya pili 🙌

…….Na kwasababu umenipa Neema na Kibali katika majira haya basi Haya Ni Maombi yangu Kwako Leo ✍🏾

1) Sema na Vijana wa Kitanzania kwa habari ya Utumishi usio na Mawaa 😭🙌

2) Sema na Wazee wetu,Watuleee kwa Hekima yako huku wakielewa Lugha unayotumia Kupitia Sisi Vijana Katika Utumishi 😭🙌

3) Tujalie Mioyo ya Nyama ili tuweze Kukusikia na Kukutii Unaposema kwa habari ya Maisha haya na Utumishi 😭🙌

4) Najua wapo Vijana wengi Ambao umewekeza kwao katika Taifa La Tanzania,Baba wanaogopa kukutumikia Maaana wameambiwa Wewe Ni Mkali sana na Hawajaambiwa kwamba Wewe ni Rehema pia…..Wasaidie Baba Na Uwatakase kwa Damu yako ili wakutumikie Angali bado siku za hatari hazijawafikia 😭🙌

5) Tuepushe na Kiburi,Ujuaji na Kuridhika Mapema kwenye Utumishi huu 😭🙌

……….Katika Jina la YESU na Mtu mmoja Aseme Amen 🙌🙌🦅🦅

#NikoTayari 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
#IamTheRevival 🇹🇿🇹🇿🇹🇿


#Beyond #zoravo #Jesus #africa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке