Israel na Hezbollah warushiana makombora katika mapigano makali

Описание к видео Israel na Hezbollah warushiana makombora katika mapigano makali

- Israel na wanamgambo wa Hezbollah wamerushiana makombora katika mapigano makali kwenye mpaka wa Lebanon na Israeli.
- Abiria 23 wameuwawa kwa kupigwa risasi nchini Pakistani baada ya kutambuliwa na kuondolewa kwenye magari walipokuwa safarini.



Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari


#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке