Askofu Malasusa alivyosimikwa Mkuu wa KKKT mbele ya Rais Samia, atakiwa kushughulikia.......

Описание к видео Askofu Malasusa alivyosimikwa Mkuu wa KKKT mbele ya Rais Samia, atakiwa kushughulikia.......

Askofu Alex Malasusa amesimikwa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kutakiwa kuhakikisha anazishughulikia changamoto zinazoisumbua dunia kwa sasa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке