Tazama Jinsi ya kutengeneza battery kubwa ya simu kwa kutumia battery ndogo

Описание к видео Tazama Jinsi ya kutengeneza battery kubwa ya simu kwa kutumia battery ndogo

Battery nyingi huwa zinatengenezwa na wabongo hapa hapa zinavikwa kava mpyaaaaa then inaandikwa made in china kumbe ni Tanzania sasa kwanini hawapendi kutambulisha kazi zao?

Leo nimekuja kufundisha jinsi ya kutengeneza battery ya simu kubwa kwa kutumia battery ya simu ndogo yoyote...

Tena nimeonesha mbinu wanao tumia wabongo kwenye viwanda vyao bubu kariakoo sasa tazama video hii naamini utafurahi

pia ka
ma kuna mtu anapata tabu simu yake battery yake imekaa pembeni na simu nyingine yaani battery yake umeitafuta na umeikosa we nipigie tu simu utakuja nikuchongee namba ya simu ni +255717200012 asanteni

Комментарии

Информация по комментариям в разработке