Salamu Maria

Описание к видео Salamu Maria

Kwaya ya Mtakatifu Theofilo, Kutoka Parokia ya Mtakatifu Patrick, Thika, wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu maalum wa mwezi wa Mama yetu Bikira Maria.Wimbo huu umetungwa naye Maximilian Mashamba.
Solo: Joan Wambura & Francis Ndatha
Audio: Holy Family Media
Video: Studio Iris Pro
Kinanda: Maximilian Mashamba.

Karibuni na Mungu atubariki sana.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке