KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS - 25 UGUST 2023

Описание к видео KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS - 25 UGUST 2023

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS - 25 AUGUST 2023

KICHWA CHA SOMO: NINI UFANYE MLANGO WAKO WA BARAKA UNAPOFUNGWA


Wamuzi 5 : 8
Matendo 9 : 23 - 25
Mathayo 8 : 28
Wamuzi 5 : 8
Isaya 45 : 2
Isaya 45 : 1


Wamuzi 5 : 8

8 Walichagua miungu mipya, Ndipo kulikuwa na vita malangoni; Je! Ilionekana ngao au mkuki Katika watu elfu arobaini wa Israeli?

Matendo 9 : 23 - 25

23 Hata siku nyingi zilipopita, Wayahudi wakafanya shauri ili wamwue;

24 lakini hila yao ikajulikana na Sauli. Wakamvizia malangoni mchana na usiku wapate kumwua.

25 Wanafunzi wake wakamtwaa usiku wakamshusha ukutani, wakimtelemsha katika kapu.

Mathayo 8 : 28

28 Naye alipofika ng'ambo, katika nchi ya Wagerasi, watu wawili wenye pepo walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile.

Wamuzi 5 : 8

8 Walichagua miungu mipya, Ndipo kulikuwa na vita malangoni; Je! Ilionekana ngao au mkuki Katika watu elfu arobaini wa Israeli?

Isaya 45 : 2

2 Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukata-kata mapingo ya chuma;

Isaya 45 : 1

1 Haya ndiyo Bwana amwambiayo Koreshi, masihif wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa.



Mhubiri : Mwl. Emilian Katubayemo

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке