WAZIRI MKUU AMFOKEA MKURUGENZI, MADUDU SUMBAWANGA - ''UNATAKA KUMHARIBIA MKUU WA NCHI? ''...

Описание к видео WAZIRI MKUU AMFOKEA MKURUGENZI, MADUDU SUMBAWANGA - ''UNATAKA KUMHARIBIA MKUU WA NCHI? ''...

WAZIRI MKUU AMFOKEA MKURUGENZI, MADUDU SUMBAWANGA - ''UNATAKA KUMHARIBIA MKUU WA NCHI? ''...

WAZIRI MKUU KassimMajaliwa amesema hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Hospitali ya Manispaa ya Sumbawanga na Kituo cha Afya cha Matanga mkoani Ruakwa ambapo tayari Serikali imeshatoa zaidi ya shilingi bilioni mbili.

Hivyo, Waziri Mkuu amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Sumbawanga James Mbungano ahakikishe uchunguzi wa matumizi ya fedha za miradi hiyo unakamilika kwa wakati.

Miradi hiyo ni ya ujenzi wa hospitali ya Manispaa ya Sumbawanga ambayo ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 1.5 ambao bado haujakamilika licha ya kujengwa chini ya viwango. Amesema kwa kiwango hicho cha fedha walichopokea walitakiwa wawe wamekamilisha majengo matano.

Waziri Mkuu amesema mradi mwingine ni wa ujenzi wa kituo cha Afya cha Matanga ambacho mpaka sasa wameshapokea shilingi milioni 500 lakini ujenzi wake bado haujakamilika. “ Ujenzi wa Vituo vya Afya nchini ni shilingi milioni 400 na shilingi milioni 500 katika maeneo ya pembezoni. Hapa mlitakiwa muwe mmemaliza na kituo kianze kuhudumia wananchi.”

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке