Utukuzwe ewe Baba Mungu | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Pasaka, shukrani /matoleo (Skiza 7482441)

Описание к видео Utukuzwe ewe Baba Mungu | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Pasaka, shukrani /matoleo (Skiza 7482441)

Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, aleluya
Kwani Bwana mfufuka ametualika, aleluya

aleluya utukuzwe, utukuzwe, Baba mwumba ulimwengu aleluya



Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki

#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa

Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Sasa wakati umefika, Nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza, Tazama Bwana tunakuja kwako, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo, sadaka yangu kwako ee Mungu, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu, ee Baba twaleta zawadi zetu na ipae mbele yako


utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe Hallelujah
Kwani Yesu mfufuka ametuchagua

Комментарии

Информация по комментариям в разработке