Ngeli ya Li-Ya

Описание к видео Ngeli ya Li-Ya

Baadhi ya majina ya ngeli hii katika umoja huanza na j, mengine
yana mianzo tofauti: Katika wingi huchukua kiambishi ma/me.
Ngeli hii huchukua viambishingeli li katika umoja na ya katika wingi.
Nomino zote katika hali ya ukubwa hujumuishwa katika ngeli hii

Комментарии

Информация по комментариям в разработке