NGUVU YA MWANAMKE NDANI YA BIBLIA - Japhet Magoti

Описание к видео NGUVU YA MWANAMKE NDANI YA BIBLIA - Japhet Magoti

Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.

Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-

Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI

Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti

Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick

CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI

Mungu akubariki sana.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке