Jinsi ya Kutengeneza Chostiki (lamba lamba) kwa kutumia Pipi

Описание к видео Jinsi ya Kutengeneza Chostiki (lamba lamba) kwa kutumia Pipi

Hizi chostiki ni tamu na ukiamua kuzifunga kwenye vile vimfuko vya barafu uuze kwa sh 100 au 200 pia inawezekana na faida utapata

Pre- Order za KITABU cha
JIFUNZE KUTENGENEZA ICE CREAM NYUMBANI BILA MACHINE (Kitabu cha Mwongozo kwa Wajasiriamali)
Pre- Order ni sh 45,000/
Kikishatoka tarehe 31/01/2024 - Bei itakuwa 55,000/

Ku pre-order tumia namba hii 0718553999

Mahitaji
Maji kikombe 1
Pipi 11 (kama utatumia pipi nyingi zaidi ongeza kikombe 1 kwa kila pipi 10)
Sukari vijiko 2 (ongeza kama unatumia pipi nyingi zaidi)

Ingredients
Water 1 cup (add more if you're using more than 11 candies)
Candies 11
Sugar 2 Tbsp

Комментарии

Информация по комментариям в разработке