Nina stress sana - Aunty Ezekiel

Описание к видео Nina stress sana - Aunty Ezekiel

aunty Ezekiel amesema kuwa amepatwa na stress mara baada ya kutumia urembo wa bandia kwenye uso wake na urembo huo umemletea madhara makubwa sana kwenye ngozi yake kama vile kuungua kwa ngozi karibu na macho pamoja na kuanza kuota kwa chunusi kwenye ngozi yake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке