SHUHUDIA WAFANYABIASHARA SIMU2000 WALIVYOMFUKUZA DC UBUNGO, AONDOKA BILA KUZUNGUMZA NAO

Описание к видео SHUHUDIA WAFANYABIASHARA SIMU2000 WALIVYOMFUKUZA DC UBUNGO, AONDOKA BILA KUZUNGUMZA NAO

Baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko kuwasili eneo la Soko la Simu2000, wafanyabiashara wamemtaka aondoke.

Hatua ya kumfukuza kiongozi huyo inatokana na kile walichodai hawana imani naye katika kushughulikia changamoto yao.

Mzizi wa maandamano na mgomo wa wafanyabiashara katika soko hilo ni uamuzi wa Manispaa ya Ubungo kutangaza kulikabidhi eneo hilo kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart).

Manispaa hiyo imetoa tangazo hilo, Julai 4, 2024 baada ya kikao cha Baraza la Madiwani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке